jump to navigation

A t’aosand apologies… April 11, 2007

Posted by modoathii in Uncategorized.
trackback

Wasee, mazee poleni. in my new job i’m a palm reader…

lakini enyewe mazee sielewi kile kimehappen. hii post ilifaa kuwa the first of it’s kind. a blog that has been blogged like never before…msisahau kuimba theme song ya star trek hapo…

hii post nilidunga kwa simu ya mkono lakini maiko mtoi wa yusufu na team yake kule kwa option ati betetter, waliniweka kama modhii wa Oz. na mjue mazee nikiiandika niliwaga kwa saloon, a homie gats ta look good, ndani ya dryer moto kaa ile oven na plan ku-buy. na mazee nilikuwa na njaa kaa vulture during the rainy season at the mara. na mifuko ziliona last doh, sijui siku gani.

poleni jo. mazee na vile niliandika over one-sixty characters…next time nikumbusheni ni bambe kaufiftey kwanza.

mazee alafu hii janta mpya nimepewa li-comp amazing. nikilog on kwa couch yangu inadaisha ati mi ni unyc…unyc ni dumba gani uniQ umeniangushia?

tena hii comp ni basic kaa andi…andi rover. yaani haina lulu wala lile.

na alafu jade ameniitia guardian angel atakaye unleash zijui ma-what…ama ni huyu ameanza kuniletea madome ka wife?

wacheni kwanza niielewe vi-proper, nimanage kuescape huyu so-called guardian angel, nisettle ki-wax…kisha nitawadungia tena. ndio pia nimelost bant’s.

methu, nitumie ma updated version ya kila application unajua…kuanzia DOS 2007.

nitapitia badaaaaaaaaaae…BADAE!.

Comments»

1. bantutu - April 11, 2007

Eheheheheheh!!! Kicheko tu!! Yani Fao!!

2. bantutu - April 11, 2007

Makaeli Yusufu ana-kuscopia eh? Hiihihihi!! Ati kwa dryer…sawa mbuyu…ata sitauliza…Jamaa ukinunua oven najua itatumiwa ku-dry claddi kwa ivo nunua Dryer ya nguo tu…Ati ukilog on Inaonyeshana Unyc? Hehheheheh!! Laba we ndo ulienda kujaza pengo mahali aliwanga? Aishh man Gal you’re bak…I hope ii post is an indication of things to come kikwetu-wise….Juu nimebambika kukuta burungo ya “Kwanza” ni lugha yetu…hihihi!! Nilipata ujumbe tuta-tiamu ya ii mwezi….

3. bantutu - April 11, 2007

Mikaeli Yusufu ana-kuscopia eh? Hiihihihi!! Ati kwa dryer…sawa mbuyu…ata sitauliza…Jamaa ukinunua oven najua itatumiwa ku-dry claddi kwa ivo nunua Dryer ya nguo tu…Ati ukilog on Inaonyeshana Unyc? Hehheheheh!! Laba we ndo ulienda kujaza pengo mahali aliwanga? Aishh man Gal you’re bak…I hope ii post is an indication of things to come kikwetu-wise….Juu nimebambika kukuta burungo ya “Kwanza” ni lugha yetu…hihihi!! Nilipata ujumbe tuta-tiamu ya ii mwezi….

4. bantutu - April 11, 2007

Leo ziite spam ama venye unataka kuziita!! Nakwambia niko Top 4…. Ata mlie!!

5. aegeus - April 11, 2007

aiii Bants ni ma-diarrhea tu! Kuropokwa kwa wingi jo! hehehehe! Mzeiya, natafuta stock maze ya izo kwani ni P1 mmx? Nitarudi, waSk inaita!!

6. betty - April 12, 2007

hehehehe bantutu enyewe kwani umelewa???

aegus lol ati ma-diarrhea tu?? hilarious!!

7. Jermaine - April 12, 2007

Come again??.. Now in English.. 😀
Now who are Yusufu and the rest??

Bantutu, kwani you had to stress your points how??.. mpaka you post comments 4 times ama it’s coz it’s free to comment??

8. Klara - April 12, 2007

@betty & Agiasi
Nacheka tena sana niki roll! Yenyewe kwani Mzeiya amelewa!Anaropokwa sana! LOL
@Modo
Ati Palm-reader?? LOL! Una read nini?? Halafu ati Agiasi akutumie nini? Wooiiii utaweza hiyo jargon yake??

9. Sue - April 12, 2007

Ai Modo?!! Kweli una shida wewe. janta sasa inakuhanda eh.. Ata mi nauliza kaa Aegeus kwani ni version?? 3.11 ama??
Na kwani Unyc ndo alikua apo, coz when she said anaacha jobbo na we ukasema unahama jobo???/?

Na wewe Bantush kwani ni nini??? Alafu unaringa ati uko top 4??
alafu kwani ni post??
@ Methu hehehe ati diarhoea??
@ betty.. ata mi I think amelewa..


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: