jump to navigation

To get a clear channel, get your neighbour’s May 10, 2007

Posted by modoathii in Uncategorized.
trackback

(A dialogue by two characters by modoathii…the drama is in the VOs…i hope, enjoy! Rather try and understand!)

Thunderous applause!

Cusses.

Curses.

Breaking glass.

Slamming of the door.

Cusses.

“Niaje msee!”

“(bleep) (bleep) (bleep) (bleep) (bleep) (bleep) (bleep) television!”

“O-okay!”

“Mazee, nilikua juu ya progie moja hapo kali alafu michele…mvua…”

“Juu ya…?”

“Nikahujui. We fala nini? Kuja nikushow.”

“Ile.”

“Oh, ah, aerial haishiki nini?”

“Banae!”

“Zungusha?”

“Nimezungusha hiyo something mpaka nimelewa. Nikizungusha zaidi nitamake square.”

“Haha! Sasa utado? Idhaa nigwan…huwezi anza kuenda kusaka aerial saa hii?”

“Nani amekuambia?”

“Hakuna duka iko open banaa.”

“Nani amesema naenda kubuy?”

“Utatoa wapi?”

“Niaje maswali ka za clinic daddy?”

“Haha! Fala!”

“Muja nikudigishe. Unayebi…”

“Unanionyesha maroof za makeja ndio?”

TWAF!

“Sasa mbona umeniwai ngoto, man!”

“We ni fala nini? Hizo ni maerial daddy.”

“Ndio, kwani unaona nikama utazisanya nini?”

Silence!

“Wacha kunidigi ivo bro…HAIYA! Uko serious? Unataka kuzing’am!”

“Finally, Houston we have contact! Kwani si unaona vile zimedungwa hivyo…ni ka kuenda shopping.”

“Acha ulafa.”

“Nisaidie hapa man.”

“Sasa unafanya nini na hiyo pipa?”

“Msee. Ukiniuliza swali ingine kaa mnaju wa miaka mbe nitakuweka ndani ya hii pipa. Iweke pale na uwache maswali fortey.”

“Then what?”

“Yaani, umegwaya mpaka ukabonji ngoso, fala nini?”

“This isn’t right…argh, hii si poa jos, utapatikana.”

“Unampango wa kuenda kuambia mamako?”

“Duh, lakini__”

“Bas, Nishikie hapo.”

“But…”

“But ni budako? Shika hapo. Na mazee ukiniangusha nita kuangukia na mablow. Sawa? Haiya, unishow wadhii wakimuja.”

“Mazee, hii ni SQ ya yule modhii fala.”

“Bas, nani mpoa wakumchukulia aerial…”

“KUIBIA!”

“Sawa, nani mfiti wa KUIBIA kushinda yeye?”

“Eish.”

“Badae. Watch my back!”

Wee rudi bana…nikaa anakam.

“Wacha kuwhisper ka tenje ya pastor.”

FALA…oops…fala!”

“Haha”

“Mazee huchali ni crazy…sasa anado what? Zi kwanza mimi ninado what? Nafaa kuwa keja nikisambaziwa machaplaga na masa. U chali ataniweka kwa fire ingine hapo hot kushinda ya devo. Saa cheki, karibu adunde akipanda maroof za wadhii. Na badala aende mbali anamuibia tu jirani…eish!”

“NIMEWAI!”

“Ala huyu mbuyu alikuwa anaona TV? Anazusha telly yake hainyiti. Teremka tuishie! Chap chap!”

“TWENDE! TWENDE!”

“Yaani umewai msee aerial akiyebi telly?”

“Hahahahaha!”

“Na unacheeka?’

“Unataka nilie? Wachana na huyo fala…by the time agutuke nitakuwa nikicheki movie ya KBC mbaya.”

“Yaani, umeiba aerial ya KTN ndio uone KBC?”

“Nakushoigi uwachage kunyonya. We ni fala! Juu ati hizi maerial zilihitajika ndio wasee wanyite KTN vipoa ndio sasa unaziita za KTN…”

Silent stare.

“Fala!”

“Yaani, Marto, umesanya aerial?”

“Utakaa hapo nje ka masa ukiimba wimbo bila lyrics ama utaingia tucheki hii progie?”

“Eish enyewe kukuzushia ni ka kupigia mbuzi guitar.”

“Ting ting meeeh!”

“Hahaha”

“Hahaha”

“Twende basi…mazee na mkue mnagrao…”

Comments»

1. dkwin - May 10, 2007

Sasa kizee ao majirani washaa fyatukiwa… Wanadingo mpaka Aerial?? Ama ndo siezi scan telli poa.. Labda kaerial kashaavuka.. Wah!! Na unaishi jea na madingo tu vyoi.. hama kizee. next ni wewe baana..

Acha nigutuke mapeme mapema nkacheki ka aerial kaa bado kako ama kasha whizz!!

2. makanga - May 11, 2007

Morro wataanua iyo jersey ya Liverpool umeanika.

3. Bomseh - May 11, 2007

Yaani kumbe huyu Marto bado yupo. Na fyam vimezesha. Way to go man.

4. mudskippah - May 11, 2007

GTV.

5. betty - May 11, 2007

that was the funniest thing i’ve ever read 🙂 will be laughing looong after tonight!
nahope basi mlienjoy ile proggie..mli deserve after all that.

6. aegeus - May 12, 2007

Maze unaeza anguka kaa yule beste huko kwa kina Bantush alidunda akaingia kwa ceiling akaumwa na panya kizee! Lo! Nimecheka!! 😀 Risto poa maze na ii mtindo ni timam!

7. Mocha! - May 15, 2007

LMAO!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: